@BernardMembe Mh. Waziri hawa M23 wanahofia sana Majeshi ya Tanzania. Na wajiandae vitisho vya kwenye mtandao majibu watayapata tutakapofika
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@bernardmembe@barbarahassan muheshimiwa maneno hayo..ooohhThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@bernardmembe@barbarahassan Natumai mmejpanga vzur Mheshimiwa, kuanzia usalama wa wnanchi ziwa Tanganyika hadi nchi nzima.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe@barbarahassan well noted they know we have unbeaten recordsThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe ushauli wangu kama mtanzania,tafadhali msiwapeleke ndugu zetu(wanajeshi wetu) huko,siko kuzuri kabisaa,ww utakuwa dsm wao poriThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe na kama m23 haiwatishe kwa nini munacelewa kuja, Twasubiri hiyo ma scouts yenu kwa hamu.@subinuktaThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Sawa mzee!! Ila hata ganda la risasi kutoka M23 likidondokea Tanzania tutakula sahani moja na wewe!! Othrwise al the best!Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe kama ilivyoada kwetu sisi tu wapole ila wakichokoza watakipata vijana wapo safi kabisa nguvu tunazo nia tunayo na uwezo tunao.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
Well said! RT “
@BernardMembe: M23 hawawezi kututisha wala hakuna wa kuzuia majeshi yetu kwenda DRC”Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.