@BernardMembe Wakati huo jeshi letu na la Malawi wanapigana pamoja dhidi waasi wa DRC huku wakiwa na ugomvi wa mpaka na sisi! Hii inaendaje?
-
-
-
@Kadulyu Malawi wanapeleka 150 tu Huko#DRC na sisi ndio tunaongoza hiyo operesheni. Wasiende tu Congo tuta replace@bernardmembe -
@zittokabwe@BernardMembe Imefika wakati wa kuita kijiko, kijiko. Tunapoteza muda, fedha na kujiongezea wasi wasi bure.
End of conversation
New conversation -
-
-
@BernardMembe :Tanzania kupitia mito yake tu inaiingiza maji ktk ziwa nyasa kwa 59% na Malawi ni 33% na Msumbiji ni 8%!Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe ziwa lipi tuweke wazi. Muheshimiwa http://myloc.me/rlfblThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Inamaana mh Bingwa Mutharika iloziwa hakuliacha?mpaka anakuja kliona Banda ?Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe hawa wa Malawi wanahitaji kufundishwa adabu,tuna womba JK atoe maamuziThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe na je wamesitisha utafutaji mafuta? If not tupeleke jeshi likalinde mipaka yetu isiingiliweThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@bernardmembe Simply tell them JWTZ liko tayari kwa lolote b'se TUNAJIVUNIA wao#Tanzania#Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.