@BernardMembe Mh takriban magazeti mawili yamedai Ridhwani na Salma Kikwete "walikuokoa ktk kura."Assuming si kweli will you sue the papers?
-
-
@BernardMembe Aidha hukutaka kujibu swali langu au hukulielewa. I wrote "ASSUMING SI KWELI..." Sasa hiyo ya mie kiamini imetoka wapi? -
@Chahali wewe umeuliza swali, na mimi nimekuuliza swali ili kujaribu kukuelewa, maana sikukutegemea uulize swali hilo, mbona unakuwa mkali? -
@BernardMembe si ukali,Mheshimiwa,bali ni kiu tu ya udadisi na efforts za kuweka rekodi sawa wkt taifa linaelekea kupata uongozi mpya 2015 -
@Chahali asante sana. - 1 more reply
New conversation -
-
-
@BernardMembe Ningeamini kilichoandikwa nisingepoteza muda wangu+wako kukuuliza same thing.Anyway,watawala wetu mmezowea pongezi si maswali -
@Chahali Mwenyekiti alipata kura 2395(99%) na mimi nilipata kura 1451. angalia takwimu, soma tena hilo gazeti kisha tafakari utapata jibu -
@BernardMembe Nafikiri bila kujali imani ya mtu katika magazeti hayo, SWALI NI: "Assuming Si Kweli, WILL YOU SUE THE PAPERS?"@Chahali -
@FrankMakange@Chahali tuki-sue magazeti kwa kila tuhuma hata kama ni nyepesi tu tutayafilisi magazeti yote -
@BernardMembe Well, kama sababu ya kuyashitaki magazeti hayo ni kupata "chochote", basi hakika uko sahihi Mheshimiwa! LoL@Chahali
End of conversation
New conversation -
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.