@BernardMembe Ningetamani CCM chama makini ki-demonstrate demokrasia ya kweli. Mimi naona nafasi za juu za chama zinapatikana kwa mizengwe!
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe CCM bado tunaathirika na legacy ya mfumo wa chama kimoja. Hivi kweli hakuna WaTz zaidi ya mmoja wanaoutaka U/Mkiti na Umakamu?Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Mh.Tatizo ni kuwa wale waaminifu mmekuwa kama tone la maji baharini. Pia ni vizuri tu muongeze ushindani kwenye nafasi za juu.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe inawezekana hujatoa wewe,ila huwezi kuwasemea wengineThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe lakini bado rushwa ipo, tena kwa kiwango cha kutisha.Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe Mbona tunasoma kuwa kama siyo mke wa kikwete na mtoto wake hungepita je hiyo siyo rushwa?Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
U deserve
@bernardmembeThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@BernardMembe ninakupongeza sana Mheshimiwa always the almighty is with the righteous!Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.