@BernardMembe @fredkavishe kama ndiyo hivyo iwe madhubuti kweli. Takaseni chama kijitenge na rushwa pamoja na viongozi wa maslahi.
-
-
Thanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
-
-
@bernardmembe@fredkavishe hiyo ni point ya msingi -
@kambachete crap point who is nyerere by the way
-
@fredkavishe ni muasisi wa taifa la tanzania na mmoja kati ya wapigania uhuru kupitia chama cha tanu -
@kambachete ndo atufanyie maamuzi kuchagua viongozi
-
@fredkavishe @kambachete Katika hotuba yake ya 1995, alisema sio kazi yake kuchagua kiongozi. Hi ni twitting session ya Membe sio ya Nyerere
End of conversation
New conversation -
-
-
@BernardMembe ongea na mengine aliyosema alikua sawa yeye Mungu kwan naye ana makosa tu kama viumbe wengne I don't buy that silly crap -
@fredkavishe@BernardMembe wewe hujamuelewa Mwl. Tumia muda kumuelewa mwanafalsafa. Hata Mungu usipomuelewa unaweza kusema na yeye anakosea! -
@AloysRugazia niambie kimoja tu nyerere alikuwa hakosei -
@fredkavishe I will give you a bona fide response. Kama ungekuwa unazisikiliza hotuba za mwalimu anasema nimekosea mengi lakini kwania njema
End of conversation
New conversation -
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.