@fredkavishe @Semkae @zittokabwe @BernardMembe madaktari wengi wakiwa nje ya nchi si jambo jema kwa kuwa mahitaji nchini ni makubwa
-
-
@BernardMembe kabisa. Pia kuwaona ni sehemu ya mkakati wetu kiuchumi.@fredkavishe@tonytogolani@Semkae -
@zittokabwe@BernardMembe@fredkavishe@Semkae Diaspora imetambuliwa kama kipaumbele kwenye Mpango wa Taifa wa miaka 5
End of conversation
New conversation -
-
-
@BernardMembe Mtwara University for Petroleum Studies naona Serikali haisemi kitu. Hili eneo nyeti sana@fredkavishe@tonytogolani@Semkae -
@zittokabwe@fredkavishe@tonytogolani@Semkae Watanzania wa Canada na Oman wamefanikiwa sana katika nchi hizo na wanaheshimika huko - 1 more reply
New conversation -
-
-
@BernardMembe@zittokabwe@tonytogolani@Semkae nasikia kuna sera mnaboresha kuwavutia diaspora warudi nyumbaniThanks. Twitter will use this to make your timeline better. UndoUndo
-
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.