@fredkavishe @Semkae @zittokabwe @BernardMembe madaktari wengi wakiwa nje ya nchi si jambo jema kwa kuwa mahitaji nchini ni makubwa
-
-
Replying to @tonytogolani
@tonytogolani tuzalishe wengi zaidi, wabaki na waende nje@fredkavishe@Semkae@BernardMembe2 replies 0 retweets 1 like -
Replying to @zittokabwe
@zittokabwe@tonytogolani@Semkae@BernardMembe pia tuende sera nzur walipe kodi wakiwa huko huko nje maana tumewasomesha sisi3 replies 0 retweets 0 likes -
Replying to @fredkavishe
@fredkavishe dola wanazotuma Watanzania kutoka nje ni zaidi ya mauzo ya Korosho na Kahawa combined@tonytogolani@Semkae@BernardMembe1 reply 1 retweet 0 likes -
Replying to @zittokabwe
@zittokabwe nimekuelewa kaka je kuna kitengo kinajua dola ngapi zimeingia kwa mwaka huu kutoka nje@tonytogolani@Semkae@BernardMembe1 reply 0 retweets 0 likes -
Replying to @fredkavishe
@fredkavishe BoT wana data zote. Kila dola inayoingia nchini (tofauti na cash) inajulikana@tonytogolani@Semkae@BernardMembe3 replies 0 retweets 0 likes
@zittokabwe @fredkavishe @tonytogolani @Semkae nimefurahishwa na mjadala huu aliouanzisha @zittokabwe mtihani wa kwanza ni kubadili mtazamo
Loading seems to be taking a while.
Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.